Loading the player...

MATUKIO MAZITO TUZO za SINEMA ZETU Hisia za Diamond kwa Hamisa Kilio cha Wema Sepetu KANUMBA atajwa

  • Uploaded 5 months ago in the category Fragmanlar

    MATUKIO MAZITO TUZO za SINEMA ZETU Hisia za Diamond kwa Hamisa Kilio cha Wema Sepetu KANUMBA atajwannUsiku wa pasaka katika ukumbi wa Mlimani City watanzania tu

    ...

    MATUKIO MAZITO TUZO za SINEMA ZETU Hisia za Diamond kwa Hamisa Kilio cha Wema Sepetu KANUMBA atajwannUsiku wa pasaka katika ukumbi wa Mlimani City watanzania tumeshuhudia zoezi la ugawaji wa tuzo za filamu za Sinema Zetu International Film Festival Award (SZIFF) zenye jumla ya vipengele 19 ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Mstaafu wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya nne Dkt.

    Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni mualikwa akiwa muigizaji kutoka India aitwaye Pritika Rao maarufu kama Aliyah ambaye amejizolea umaarufu kupitia tamthilia ya ‘Beitehaa’.nnKatika usiki huu uliopambwa na muziki tofauti kutoka ndani ya Tanzania, mastaa mbalimbali katika sekta ya burudani wamepata kushuduhia tuzo hizo huku vituko vikitawala kwenye viunga hivyonnhamisa mobeto na diamond walishndwa kuzuia hisia zao usiku huo na kuonyesha mahaba yao hadharani mbele ya wema sepetu nn hamisa mobeto alianza mbwembwe baada ya kuulizwa ni mwanamme gani ambae anavutiwa nae ukumbini hapo na amependeza kuliko wanaume wote hakusita kumtaja diamond platnumz nnkitu ambacho kilimfanya diamond nae kupanda na hamisa mobeto kwenye kutangaza mshindi wa tuzo na kufanya mashabiki kushangilia sana tukio hilo na hasa pale ambapo alimshukuru hamisa kwa kuona amependeza naye akamsifia pia na kumwambia kama dylan anawaona saiv atakua na furaha sana nnhii inaonyesha kabisa jinsi diamond alivyo amua kuweka sawa matatizo yake yote pamoja na wapenzi wake wa zamani akiwemo mzazi mwenzake hamisa mobetonnhii inaonekana kabisa lile bifu la diamond na alikiba sasa linaelekea kufa huku wadau wa mziki wakisema kama bifu hizi zikifa kuna uwezekano hata ile ladha ya mziki itapungua kutokana na kukosekana ushindaninnhuku zile media ambazo zilikua zikitengeneza bifu hizi kwaajili ya kupata mafanikio zikiongeza uadui na msanii huyo diamond platnumznnkitu kingine ambacho kilifurahisha ni pale ambapo diamond platnumz alipo tambua uwepo wa naibu waziri juliana shonza nakuibua kumzo kwa muda na kukiri kwamba anamuheshimu sana na anaheshimu mchango wake kwenye tasnia nzimannwema sepetu nae aliweza kuwatonesha vidonda wadau wa filamu baada ya kuonekana kumtaja sana kanumba na kummwagia sifa nyingi huku akisisitiza kwamba angependa kama angekuwepo siku yake ya kuchukua tozo hiyo ya msanii bora wa kike nnalizidi kufunguka na kusema hakua anajijua kama anakipaji cha uigizaji ila kanumba aliona kipaji chake na kumuamini japo alikua hajiamini lakini aliweza kumpa moyo mpaka leo ameibuka msanii bora wa kike nnfilamu yake ya heavenly send pia imechukua tuzo ya chaguo la watu au peoples choice kitu ambacho kimewafurahisha sana mashabiki wake na kujitamba kwamba imedhibitika kwamba yeye ndio african beauty kweli kuliko hawa wengine ambao wamekua wakitajwa kama mahasimu wakenngabo zigamba pia alikua gumzo kwenye tuzo hizo baada ya kunyakua tuzo tano mfululizo na kuonyesha wadau wa filamu kwamba sasa mrithi wa kanumba anaweza kuwa ameshapatikana ambae ni yeye gabo zigamba nnwadau wa filamu wametokea kumpenda gabo zigamba kutokana na utaratibu wake kuwa tofauti na wasanii wengine wa bongo movie kitu ambacho kinamfanya mpaka sasa aweze kuhimili soko la filamu na kukidhi matakwa ya watazamaji kwa kuwapa vitu ambavyo mastaa wengine wa bongo movie wameshindwannwakati wasanii wa bongo movie wakizingatia majina wakati wa kufanya kazi zao gabo amekua akizingatia ubora na kufanya kazi kama team kitu ambacho kilirihirika kwenye filamu ya safari ya gwalunngabo zigamba aliweza kunyakua tuzo tano vipengele vya tuzo hizo ninnBest Film:- Safari ya GwalunBest Director:- Daniel Manege:- (Safari ya Gwalu )nBest Actor:- Salim Ahmed ( Gabo)nBest Original Music:- Safari ya GwalunBest Screen Play:- Safari ya Gwalu (Daniel Manege)nnhabari njema kwa wadau wa filamu zamaradi ketema atakua na kipindi maalumu kwaajili ya kuinua tasnia ya bongo movie kupitia wasafi tvnnlakini pia ikumbukwe tuzo hizi zilipata pigo Mnamo Oktoba mwaka 2017 waandaji walizindua tuzo hizo na kumchagua muigizaji wa filamu Bongo Elizabeth ‘Lulu ‘ Michael kuwa balozi wa (SZIFF) Sinema Zetu International Festival kwa mwaka 2017/2018.nnlakini kwa bahati mbaya lulu aliweza kupata matatizo kwa kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake lulu michael na kutumikia kifungo cha miaka mitatunnnnBonyeza Hapa KUSUBSCRIBE www.youtube.com/c/Tricodskills?sub_confirmation=1nn nnTRICOD SKILLS Website: nwww.tricodskills.co.tznnLIKE TRICOD SKILLS on Facebook!n www.facebook.com/Tricod-Skills-1152415704841747/nnFOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter! ntwitter.com/TricodSkillsnnFOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram! nwww.instagram.com/tricodskills/nnnnInstrumental produced by Chukibeats.nyoutube link (www.youtube.com/user/CHUKImusic)

  • # matukio# mazito# tuzo# za# sinema# zetu# hisia# diamond# kwa# hamisa# kilio# cha# wema# sepetu# kanumba# atajwa
show more show less